Back

ⓘ Kapadokia ilikuwa eneo la katikati ya rasi ya Anatolia. Hadi mwaka 17 BK ilikuwa huru, mji mkuu ukiwa Kaisarea ya Kapadokia. Baadaye ilitekwa na Dola la Roma ha ..




Kapadokia
                                     

ⓘ Kapadokia

Kapadokia ilikuwa eneo la katikati ya rasi ya Anatolia.

Hadi mwaka 17 BK ilikuwa huru, mji mkuu ukiwa Kaisarea ya Kapadokia.

Baadaye ilitekwa na Dola la Roma hadi Waturuki walipoiteka moja kwa moja kuanzia mwaka 1071.

                                     

1. Marejeo

 • Weiskopf, Michael 1990. "Cappadocia". Encyclopaedia Iranica, Vol. IV, Fasc. 7–8. pp. 780–786.
 • Raditsa, Leo 1983. "Iranians in Asia Minor", The Cambridge History of Iran, Vol. 3 1: The Seleucid, Parthian and Sasanian periods. Cambridge University Press. ISBN 978-1139054942.
 • Mitchell, Stephen 2018. "Cappadocia", The Oxford Dictionary of Late Antiquity. Oxford University Press. ISBN 978-0192562463.
                                     
 • Mababu wa Kapadokia ni jina linalojumlisha maaskofu watatu wa karne ya 4 kutoka mkoa huo leo nchini Uturuki Basili Mkuu 330 - 379 mdogo wake Gregori
 • Wafiadini wa Kapadokia waliovunjwa miguu walifia dini Kapadokia katika Uturuki wa leo, 303 hivi walikuwa Wakristo ambao waliuawa namna hiyo wakati
 • Askari wafiadini wa Kapadokia walifariki karibu na Sivas, Armenia ya Kale, leo nchini Uturuki, 303 ni kundi la Wakristo 40 wa Kapadokia ambao waliuawa wakati
 • Basili wa Kaisarea Kaisarea wa Kapadokia leo Kayseri, nchini Uturuki, takriban 329 Kaisarea wa Kapadokia 1 Januari, 379 alikuwa mmonaki, halafu askofu
 • walienea kote mashariki mwa Dola la Roma, hasa Palestina Ilarioni Kapadokia Basili Mkuu na Gregori wa Nazianzo Wengi kati ya hao wa kwanza wanajulikana
 • mwimbaji kutoka Nigeria 379 - Mtakatifu Makrina Mdogo, bikira mmonaki kutoka Kapadokia Uturuki wa leo 514 - Mtakatifu Papa Simako 1965 - Ingrid Jonker, mwandishi
 • Oreste wa Tyana alifariki Tyana, Kapadokia katika Uturuki ya leo, karne ya 3 au ya 4 alikuwa mfiadini wa Kikristo. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki
 • Yerusalemu, Paulo wa Iamnia, Porfiri, Seleuko wa Kapadokia Teodulo na hatimaye Juliani wa Kapadokia aliyechomwa moto taratibutaratibu. Sifa yao imedumishwa
 • huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Lucho, Montano na wenzao, wafiadini wa Kapadokia waliovunjwa miguu, wafiadini wa Mesopotamia waliochomwa moto, Efebo wa
 • Kaisarea pia: Polyeuctus, Polyeuctes, Polyeuktos alifariki Kaisarea wa Kapadokia katika Uturuki ya leo alikuwa mfiadini wa Kikristo. Tangu kale anaheshimiwa

Users also searched:

...
...
...