Back

ⓘ Juliani wa Aleksandria, patriarki. Juliani wa Aleksandria kuanzia mwaka 178 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria na Papa wa 11 wa Kanisa la Wakopti ..
                                     

ⓘ Juliani wa Aleksandria (patriarki)

Juliani wa Aleksandria kuanzia mwaka 178 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria na Papa wa 11 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

                                     

1. Marejeo

  • Atiya, Aziz S. The Coptic Encyclopedia. New York: Macmillan Publishing Co., 1991. ISBN 0-02-897025-X
  • Meinardus, Otto F.A. 2002. Two Thousand Years of Coptic Christianity. American University in Cairo Press. ISBN 978-977-424-757-6.
                                     

2. Viungo vya nje

  • The Official website of the Coptic Orthodox Pope of Alexandria and Patriarch of All Africa on the Holy See of Saint Mark the Apostle Archived Machi 9, 2018 at the Wayback Machine.
  • Coptic Documents in French
                                     
  • Juliani wa Aleksandria ni jina la: Juliani wa Aleksandria mfiadini Juliani wa Aleksandria patriarki
  • Kaskazini Juliani wa Aleksandria mfiadini Misri Juliani wa Aleksandria patriarki Misri Juliani wa Terracina, Tunisia Julianus na Basilisa, Misri Julius

Users also searched:

...