Back

ⓘ Kaluta Amri Abeid. Shekhe Kaluta Amri Abeid alikuwa meya wa kwanza Mwafrika na mwanasiasa pamoja na mhubiri wa dini. Kwa jina la utani la kishairi alikuwa akiju ..
                                     

ⓘ Kaluta Amri Abeid

Shekhe Kaluta Amri Abeid alikuwa meya wa kwanza Mwafrika na mwanasiasa pamoja na mhubiri wa dini.

Kwa jina la utani la kishairi alikuwa akijulikana kama Adili, lakini katika kipindi cha utoto wake baba yake alipenda kumuita kwa jina la Simba wa Lumona, kama ilivyo kwa washairi wengi kutumia majina ya utani au lakabu.

Baba yake alijulikana kama Abeid Kaluta na mama yake alijulikana kama Joha Kakolwa,

Uwanja maarufu wa mpira katika mkoa wa Arusha hujulikana kama uwanja wa kumbukumbu wa Shekhe Amri Abeid, ni uwanja ulopewa jina la mwanasiasa na mshairi huyu mkubwa nchini Tanzania.

                                     
  • Miongoni mwa watu maarufu waliosoma katika shule hii ni Rashidi Kawawa, Kaluta Amri Abeid pamoja na baba wa taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere. Kupata
  • mwaka 1959 alishindwa kuhudhuria mkutano wa washairi ulioitishwa na Kaluta Amri Abeid na ulioshirikisha washairi maarufu wa Tanganyika. Katika kuonyesha

Users also searched:

...
...
...