Back

ⓘ Karolo Nyundo alikuwa waziri mkuu na jemadari wa ufalme wa Wafaranki na alitawala tangu mwaka 718 hadi kifo chake. Mtoto wa Pepin wa Herstal na Alpaida, akawa b ..
Karolo Nyundo
                                     

ⓘ Karolo Nyundo

Karolo Nyundo alikuwa waziri mkuu na jemadari wa ufalme wa Wafaranki na alitawala tangu mwaka 718 hadi kifo chake.

Mtoto wa Pepin wa Herstal na Alpaida, akawa baba wa Pepin Mfupi na babu wa Karolo Mkuu walioendeleza juhudi zake hadi kuunda upya Dola la Roma Magharibi.

Ni maarufu hasa kwa ushindi wake katika mapigano ya Tours na Poitiers tarehe 10 Oktoba 732 dhidi ya Waarabu waliovamia Ufaransa.

                                     

1. Viungo vya nje

 • Medieval Sourcebook: Gregory II to Charles Martel, 739
 • Ian Meadows, "The Arabs in Occitania": A sketch giving the context of the conflict from the Arab point of view.
 • Arabs, Franks, and the Battle of Tours, 732: Three Accounts from the Internet Medieval Sourcebook
 • Medieval Lands Project
 • Medieval Sourcebook: Arabs, Franks, and the Battle of Tours, 732
 • Richard Hooker, "Civil War and the Umayyads"
 • "Leaders and Battles Database"
 • Pokes edition of Creasys "15 Most Important Battles Ever Fought According to Edward Shepherd Creasy" Chapter VII. The Battle of Tours, A.D. 732.
 • The Battle of Tours, BBC Radio 4 In Our Time 2014
 • Robert W. Martin, "The Battle of Tours is still felt today", from About.com
                                     
 • Adalardo wa Corbie 751 hivi - 2 Januari 827 alikuwa mjukuu wa Karolo Nyundo kama Karolo Mkuu. Alijiunga na monasteri na kuwa abati, lakini kwa muda fulani
 • alifariki 743 hivi alikuwa askofu nchini Ufaransa. Alipofukuzwa jimboni na Karolo Nyundo kinyume cha sheria, aliishi kwa unyenyekevu wote. Tangu kale anaheshimiwa
 • Remigius au Remedius wa Rouen alifariki 771 alikuwa mwanaharamu wa Karolo Nyundo waziri mkuu wa Wafaranki akawa askofu mkuu wa Rouen miaka 755 - 762.
 • Leo III anapinga sanamu katika Ukristo Karolo Nyundo anawashinda Waarabu huko Poitiers 732 wasienee Ulaya Karolo Mkuu 742 - 814 anatawazwa na Papa Leo
 • babu wa Kanisa na mwalimu wa Kanisa. Mwaka 732 mfalme wa Wafranki Karolo Nyundo alishinda jeshi la Waarabu katika mapigano ya Tours na Poitiers na kuzuia
 • Odo akamwendea waziri mkuu wa Wafaranki Karolo Nyundo akaomba msaada wake na kumkubali kama mkuu wake. Karolo aliwahi kuimarisha utawala wa Wafaranki

Users also searched:

...
...
...