Back

ⓘ Jean-Charles Cornay, M.E.P. alikuwa padri wa Ufaransa aliyekwenda kufanya umisionari huko Vietnam na hatimaye alikatwakatwa vipandevipande. Ni mmojawapo kati ya ..
Jean-Charles Cornay
                                     

ⓘ Jean-Charles Cornay

Jean-Charles Cornay, M.E.P. alikuwa padri wa Ufaransa aliyekwenda kufanya umisionari huko Vietnam na hatimaye alikatwakatwa vipandevipande.

Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19 1625–1886.

Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116.

Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Pius X na Papa Pius XII waliwatangaza kuwa wenye heri, halafu Papa Yohane Paulo II aliwaunganisha katika kuwafanya watakatifu wafiadini tarehe 19 Juni 1988.

Sikukuu yao huadhimishwa kwa pamoja kila tarehe 24 Novemba, ila ya kwake mwenyewe ni tarehe 20 Septemba.

                                     

1. Marejeo

  • "Vietnamese Martyr Teaches Quiet Lessons", By Judy Ball, An AmericanCatholic.org Web Site from the Franciscans and St. Anthony Messenger Press.
  • Les Missions Etrangères. Trois siecles et demi dhistoire et daventure en Asie Editions Perrin, 2008, ISBN 978-2-262-02571-7
  • Archives archidiocésaines de Poitiers daprès les recherches de David Albert-Brunet.
  • "St. Andrew Dung-Lac & Martyrs", by Father Robert F. McNamara, Saints Alive and All Gods Children Copyright 1980-2010 Rev. Robert F. McNamara and St. Thomas the Apostle Church.
                                     
  • wenzao, Dorimedonti, Eustaki wa Roma, Ipasi, Asiani na Andrea, Yohane Charles Cornay Laurenti Han Ihyong na wenzake sita n.k. Wikimedia Commons ina media
  • askofu mmisionari kutoka Hispania Jean Baptiste Con Jean - Charles Cornay M.E.P., padri mmisionari kutoka Ufaransa Jean - Louis Bonnard, M.E.P., padri mmisionari
  • kinachoitwa Synaxarion. Waanglikana walimtangaza mtakatifu mmoja tu Mfalme Charles I wa Uingereza lakini wanawatambua watakatifu wengine waliotangazwa kuwa

Users also searched:

...