Back

ⓘ Ignas Delgado y Cebrián, O.P. alikuwa askofu mmisionari kutoka Hispania. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huk ..
                                     

ⓘ Ignas Delgado y Cebrián

Ignas Delgado y Cebrián, O.P. alikuwa askofu mmisionari kutoka Hispania. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19.

Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116.

Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Pius X na Papa Pius XII waliwatangaza kuwa wenye heri, halafu Papa Yohane Paulo II aliwaunganisha katika kuwafanya watakatifu wafiadini tarehe 19 Juni 1988.

Sikukuu yao huadhimishwa kwa pamoja kila tarehe 24 Novemba.

                                     

1. Marejeo

  • "St. Andrew Dung-Lac & Martyrs", by Father Robert F. McNamara, Saints Alive and All Gods Children Copyright 1980-2010 Rev. Robert F. McNamara and St. Thomas the Apostle Church.
  • Les Missions Etrangères. Trois siecles et demi dhistoire et daventure en Asie Editions Perrin, 2008, ISBN 978-2-262-02571-7
  • "Vietnamese Martyr Teaches Quiet Lessons", By Judy Ball, An AmericanCatholic.org Web Site from the Franciscans and St. Anthony Messenger Press.
  • Ceferino Puebla Pedrosa red., "Witnesses of the faith in the orient. Dominican Martyrs of Japan, China, and Vietnam", The Dominican Province of St. Joseph, New York, 2006, isbn = 978-9718596036
                                     
  • Ufaransa Fransisko Trung Von Tran Fransisko Saveri Can, katekista Ignas Delgado y Cebrián O.P., askofu mmisionari kutoka Hispania Jeromu Hermosilla, O.P
  • Ndiyo Ignas Delgado y Cebrián Ndiyo Ignas Kim Chejun Ndiyo Ndiyo Ignas wa Antiokia Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ignas wa Laconi Ndiyo Ignas wa

Users also searched:

...