Back

ⓘ Julian Assange. Julian Paul Assange ni mtaalamu wa kompyuta toka Australia aliye mwanzilishi na mkurugenzi wa WikiLeaks. Hivi sasa anashikiliwa na polisi London ..
Julian Assange
                                     

ⓘ Julian Assange

Julian Paul Assange ni mtaalamu wa kompyuta toka Australia aliye mwanzilishi na mkurugenzi wa WikiLeaks.

Hivi sasa anashikiliwa na polisi London, Uingereza baada ya kukamwata tarehe 11 Aprili 2019 kwa kutotii masharti ya dhamana aliyopewa mnamo Desemba 2010. Kabla ya kukamatwa, alikuwa akiishi katika ubalozi wa Ecuador tangu mwaka 2012.

Assange alianzisha WikiLeaks mwaka 2008 akaanza kujulikana duniani mwaka 2010 wakati WikiLeaks ilipochapisha siri za serikali ya Marekani zilizofichuliwa na Chelsea Manning akijulikana wakati huo kama Bradley Manning. Siri hizo zilijumuisha video ya Collateral Murder Aprili 2010. Kutokana na kuchapishwa kwa siri hizo, serikali ya Marekani ilianzisha uchunguzi wa jinai na kutaka nchi marafiki kuisaidia.

                                     

1. Viungo vya nje

  • Why Judge Baltasar Garzon has taken on the defense of Julian Assange
  • Habari ya kukamatwa kwa Julian Assange toka BBC
  • Works by Julian Assange katika Project Gutenberg
                                     
  • mwaka 2006 huko Iceland ina nyaraka milioni 10. Mwanzilishi wake ni Julian Assange Toka mwaka 2018, Kristinn Hrafnsson ni mhariri wake mkuu. Karhula

Users also searched:

...
...
...