ⓘ Free online encyclopedia. Did you know?
                                               

Omani

Usultani wa Omani kwa Kiarabu: سلطنة عُمان Saltanat ˤUmān ni nchi ya Bara Arabu katika Asia ya Magharibi. Imepakana na Maungano ya Falme za Kiarabu, Saudia na Yemen, halafu Bahari Hindi na Ghuba ya Omani. Utawala wa nchi hufuata muundo wa kifalme ...

                                               

Palestina

Palestina kwa Kiarabu: فلسطين‎ filastīn, falastīn; kutoka Kilatini: Palaestina; kwa Kiebrania: פלשתינה Palestina ni jina la eneo lililoko upande wa Mashariki wa Bahari ya Mediteranea kati ya mkingo wa bahari hiyo na mto Yordani.

                                               

Punjab

Punjab ilikuwa jimbo la Uhindi wa Kiingereza lililogawiwa tangu 1947 kati ya nchi za Uhindi na Pakistan. Kijiografia ni tambarare ya mito mitano inayoingia katika mto Indus upande wa mashariki. Hali ya hewa ni yabisi lakini maji ya mito ni msingi ...

                                               

Pyinmana

Pyinmana ni mji mdogo katika Myanmar karibu na Mandalay. Pia huitwa Naypyidaw, maana yake "Makao ya Wafalme". Mwaka 2005 serikali ya kijeshi iliamua kuhamisha mji mkuu kutoka Yangon kuja Pyinmana. Pyinmana ilikuwa makao makuu ya "Jeshi la Uhuru w ...

                                               

Pyongyang

Pyongyang ni mji mkuu, pia mji mkubwa wa Korea Kaskazini wenye wakazi 2.926.443 na pamoja na rundiko la mji watu 3.702.757. Ni kati ya mahali pachache ambako wageni wa nje wanaruhusiwa kutembelea. Mji uko kusini-magharibi mwa nchi, karibu na mpak ...

                                               

Qatar

Qatar kwa Kiarabu: قطر ni emirati ndogo wa Uarabuni kwenye rasi ya Qatar ambayo ni sehemu ya rasi kubwa ya Uarabuni. Imepakana na Saudia upande wa kusini. Mipaka mingine ni ya Ghuba ya Uajemi. Kisiwa cha Bahrain kiko karibu. Mji mkuu wa Qatar ni ...

                                               

Ras al-Khaimah

Ras Al-Khaimah ni moja kati ya utemi katika shirikisho la Falme za Kiarabu. Iko katika kaskazini kabisa ya nchi. Eneo lake ni 1700 km². Jumla hili limegawiwa kwa sehemu mbili zinazotenganishwa na maeneo ya falme nyingine. Kuna wakazi 250.000. Mta ...

                                               

Rasi ya Malay

Rasi ya Malay ni rasi kubwa katika Asia ya Kusini-Mashariki. Ina pande tatu: Katikati yake ni eneo la Uthai Kaskazini-magharibi yake ni eneo la kusini kabia ya Myanmar Burma Kusini ni eneo la Malaysia ya magharibi Kusini kabisa iko Singapor kweny ...

                                               

Riyad

Riyad ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Ufalme wa Uarabuni wa Saudia. Iko katikati ya Bara Arabu kwenye nyanda za juu za eneo la Najd. Kuna wakazi milioni 4.3 ambao ni karibu 20 % za watu wote katika Saudia.

                                               

Saudia

Ufalme wa Uarabuni wa Saudia المملكة العربية السعودية, al-mamlaka al-arabiyya as-saaudiyya ni nchi kubwa kati ya nchi za Bara Arabu. Imepakana na Yordani, Iraq, Kuwait, Qatar, Bahrain, Falme za Kiarabu, Oman na Yemen. Kuna pwani ya Ghuba la Uajem ...

                                               

Secunderabad

Secunderabad ni mji wa nchini India katika jimbo la Andhra Pradesh upande wa mashariki wa nchi. Iko karibu na mji mkubwa wa Hyderabad na mara nyingi hutazamiwa kama sehemu yake.

                                               

Shiraz

Jina la Shiraz linaonekana tayari kwenye vigae vya mwandiko wa kikabari vilivyokutwa katika maghofu ya Persepolis. Wakati wa uvamizi wa Waarabu Waislamu mnamo mwaka 650 BK mji ilikuwa kitovu cha Uajemi kusini. Mnamo mwaka 1000 Shiraz ilikuwa mji ...

                                               

Sidoni

Sidoni ni mji wa Lebanoni kusini, katikati ya Beirut na Tiro, maarufu katika historia ya kale hasa kwa utajiri uliotokana na biashara yake ya kupitia baharini. Hata leo unategemea sana bandari yake, mbali ya utalii. Wakazi walikuwa 65.000 hivi mw ...

                                               

Sri Jayawardenapura

Sri Jayawardenapura-Kotte ni mji mkuu wa Sri Lanka mwenye wakazi 115.826. Imekuwa mji mkuu tangu 29 Aprili 1982 badala ya jiji kubwa la jirani Colombo. Wakati ule jina lake likabadilishwa liliwahi kuitwa Kotte tu. Hali halisi ni kama mji wa kando ...

                                               

Syr Darya

Syr Darya, ni mto wa Asia ya Kati. Chanzo cha maji yake kipo katika Milima ya Tian Shan huko Kirgizia na mashariki mwa Uzbekistan. Mto wenyewe unaanza Kirgizia katika bonde la Ferghana ambako matawimto mikubwa ya Naryn na Kara Darya inaungana. Un ...

                                               

Syria

Syria au Siria kwa Kiarabu: سوريا au سورية ni nchi ya Mashariki ya Kati au Asia ya Magharibi. Imepakana na Lebanon, Israel, Yordani, Iraq na Uturuki. Kuna pwani kwenye bahari ya Mediteranea. Nchi inatajwa pia kwa jina la "Shamu" katika maandiko y ...

                                               

Tajikistan

Tajikistan ni nchi ndogo ya Asia ya Kati ambayo haina pwani kwenye bahari yoyote. Imepakana na Uchina, Afghanistan, Uzbekistan na Kyrgyzstan. Eneo lake ni km² 143.100. Idadi ya wakazi ni milioni 9.3.

                                               

Tambarare ya Uhindi Kaskazini

Tambarare ya Uhindi Kaskazini ni eneo kubwa la bara upande wa kusini wa Milima ya Himalaya linaloshika Uhindi Kaskazini yote na Bangladesh yote pamoja na sehemu za Pakistan na Nepal. Tambarare hiyo imesababishwa na mito miwili ya Indus na Ganges ...

                                               

Tashkent

Tashkent ni mji mkuu wa Uzbekistan. Mwaka 1999 ilikuwa na wakazi 2.142.700. Tashkent imekuwa na makazi ya kibindadamu tangu angalau miaka 1.500. Mji ulistawi kwa biashara kwenye barabara ya hariri. Baada ya kutawaliwa na Waarabu na Wamongolia mji ...

                                               

Tehran

Tehran ni mji mkuu wa Uajemi. Idadi ya wakazi inakadiriwa kuwa kati ya milioni 9 hadi 14. Siku hizi mji umeenea kwenye mtelemko wa kusini wa milima ya Elburs kwenye kimo kati ya mita 1000 hadi 1700 juu ya UB. Kwa jumla mitaa maskini zaidi iko kus ...

                                               

Tel Aviv

Tel Aviv-Yafa ni mji mkubwa wa pili nchini Israel, wenye wakazi 380.000. Rundiko la mji kuna watu zaidi ya milioni 3. Mji uko kando ya bahari ya Mediteranea. Mji ulitokana na maungano ya miji ya Yafa na Tel Aviv mwaka 1949 baada ya vita ya Kiarab ...

                                               

Timor ya Mashariki

Timor ya Mashariki kwa Kireno Timor-Leste, kwa Kitetum Timór Lorosae ; jina rasmiː República Democrática de Timor-Leste au Repúblika Demokrátika Timór-Leste, ni nchi ya Asia ya kusini-mashariki kwenye kisiwa cha Timor, takriban km 640 kaskazini k ...

                                               

Uajemi

Iran - ايران, pia Uajemi kutokana na Kiarabu العجم - al-ajam ni nchi ya Asia ya Magharibi. Jina rasmi ya nchi ni Jamhuri ya Kiislamu ya Iran au Uajemi. Uajemi imejulikana tangu kale kama nchi iliyochangia mengi katika historia ya binadamu. Imepak ...

                                               

Ufilipino

Ufilipino kwa Kitagalog: Pilipinas, ni nchi ya kisiwani kwenye Funguvisiwa la Malay katika Asia ya Kusini-Mashariki. Ina visiwa 7.107 vyenye eneo la km² 300.000. Mji mkuu ni Manila.

                                               

Ukanda wa Gaza

Ukanda wa Gaza ni eneo dogo kwenye mwabao wa Mediteranea ya Mashariki lililopo sehemu ya mamlaka ya Palestina. Lina urefu wa kilomita 40 na upana kati ya 6 km na 14 km. Eneo lote halizidi 360 km². Gaza imepakana na bahari halafu nchi za Israel na ...

                                               

Ukingo wa Magharibi wa Yordani

Ukingo wa Magharibi wa Yordani ni sehemu ya Palestina ya kihistoria kati ya dola la Israeli upande wa magharibi na mto Yordani upande wa mashariki. Eneo lake ni 5.800 km 2. Tangu vita ya 1967 kati ya Waisraeli na Waarabu iko chini ya usimamizi wa ...

                                               

Ulaanbaatar

Ulaanbaatar ni mji mkuu wa Mongolia mwenye wakazi 844.818. Sehemu ya wakazi hufuata mapokeo ya Mongolia wakiishi mjini miezi ya baridi tu lakini miezi ya joto huhamahama kwenye hema pamoja na mifugo yao.

                                               

Umm al-Quwain

Umm al-Quwain ni emirati mojawapo ya Shirikisho la Falme za Kiarabu kwenye rasi ya Uarabuni. Iko kaskazini mwa shirikisho, kati ya Ajman na Ras al-Khaimah. Mtawala wake ni Sheikh Rashid bin Ahmad Al Mualla الشيخ راشد بن احمد المعلا. Utemi una wak ...

                                               

Uthai

Uthai ni ufalme katika Asia ya Kusini-Mashariki. Imepakana na Laos, Kambodia, Malaysia na Myanmar. Ina pwani kwenye Ghuba ya Uthai ya Bahari ya Kusini ya China upande wa kusini na Bahari Hindi upande wa magharibi. Nchi ina wakazi zaidi ya milioni ...

                                               

Uzbekistan

Uzbekistan ni jamhuri ya Asia ya Kati. Imepakana na Afghanistan, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Tajikistan na Turkmenistan. Mji mkuu na pia mji mkubwa ni Tashkent.

                                               

Vietnam

Vietnam Viet Nam ni nchi ya Asia ya Kusini-Mashariki. Imepakana na China, Laos na Kambodia. Mji mkuu ni Hanoi lakini mji mkubwa ni Mji wa Ho Chi Minh zamani: Saigon.

                                               

Visiwa vya Andaman

Visiwa vya Andaman ni funguvisiwa la Bahari ya Hindi. Kiutawala, sehemu kubwa iko chini ya Jamhuri ya India na sehemu ndogo chini ya Myanmar. Wakazi wake walibaki karne nyingi bila mawasiliano na watu wengine; hivyo wenyeji wana sifa za pekee upa ...

                                               

Visiwa vya Sunda

Visiwa vya Sunda ni sehemu ya funguvisiwa la Malay katika Bahari Hindi. Kwa kawaida vinatofautishwa kati ya Visiwa Vikubwa vya Sunda na Visiwa Vidogo vya Sunda. Sumatra, Java, Borneo na Sulawesi hufanya Visiwa Vikubwa vya Sunda. Visiwa vidogo vya ...

                                               

Yerusalemu ya Mashariki

Yerusalemu ya Mashariki ni ile sehemu ya mji wa Yerusalemu iliyotawaliwa na Yordani kati ya 1948 na 1967 halafu kutwaliwa na Israel wakati wa vita ya siku sita ya 1967. Sehemu hii ni pamoja na "mji wa kale" na mahali patakatifu pa dini tatu za Uy ...

                                               

Yordani

Yordani pia: Jordan, Jordani; kwa Kiarabu; الأردنّ "al-urdun" ni ufalme wa Kiarabu katika Mashariki ya Kati. Jina la nchi limetokana na mto Yordani ambao ni mpaka wake upande wa magharibi na Israel na eneo la Palestina ya leo. Jina rasmi ni Ufalm ...

                                               

Orodha ya miji ya Azerbaijan

Orodha ya miji ya Azerbaijan, nchi katika kanda ya Kaukazi Kusini, kati ya Asia ya Kusini Magharibi na Ulaya Kusini. Kwa jumla, Azerbaijan ina miji 77 ikiwa ni pamoja na miji 12 ya Shirikisho-miji, miji 64 ndogo ya rayon-darasa, na mji maalum wa ...

                                               

Jimbo la Bas-Sassandra

Jimbo la Bas-Sassandra ni moja kati ya Majimbo 14 za nchini Cote dIvoire. Iko Kusini magharibi mwa nchi. Mwaka 2014 Sensa ya Cote dIvoire ya 2014, idadi ya wakazi ilikuwa watu 2.280.548. Makao makuu yako San-Pédro.

                                               

Jimbo la Comoé

Jimbo la Comoé ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote dIvoire. Iko mashariki mwa nchi. Mwaka 2014, Sensa ya Cote dIvoire ya 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 1.203.052. Makao makuu yako Abengourou.

                                               

Jimbo la Denguélé

Jimbo la Denguélé ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote dIvoire. Iko kaskazini magharibi mwa nchi. Mwaka 2014, Sensa ya Cote dIvoire ya 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 289.779. Makao makuu yako Odienné.

                                               

Jimbo la Lacs

Jimbo la Lacs ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote dIvoire. Iko kitovu cha nchi. Mwaka 2014, Sensa ya Cote dIvoire ya 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 1.258.604. Makao makuu yako Dimbokro.

                                               

Jimbo la Lagunes

Jimbo la Lagunes ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote dIvoire. Iko Kusini mwa nchi. Mwaka 2014, Sensa ya Cote dIvoire ya 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 1.478.047. Makao makuu yako Dabou.

                                               

Jimbo la Montagnes

Jimbo la Montagnes ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote dIvoire. Iko magharibi mwa nchi. Mwaka 2014, Sensa ya Cote dIvoire ya 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 2.371.920. Makao makuu yako Man.

                                               

Jimbo la Sassandra-Marahoué

Jimbo la Sassandra-Marahoué ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote dIvoire. Iko magharibi mwa nchi. Mwaka 2014, Sensa ya Cote dIvoire ya 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 2.293.304. Makao makuu yako Daloa.

                                               

Jimbo la Savanes

Jimbo la Savanes ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote dIvoire. Iko kaskazini mwa nchi. Mwaka 2014 Sensa ya Cote dIvoire ya 2014, idadi ya wakazi ilikuwa watu 1.607.497. Makao makuu yako Korhogo.

                                               

Jimbo la Vallée du Bandama

Jimbo la Vallée du Bandama ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote dIvoire. Iko kitovu cha nchi. Mwaka 2014, Sensa ya Cote dIvoire ya 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 1.440.826. Makao makuu yako Bouaké.

                                               

Jimbo la Woroba

Jimbo la Woroba ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote dIvoire. Iko magharibi mwa nchi. Mwaka 2014, Sensa ya Cote dIvoire ya 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 845.139. Makao makuu yako Séguéla.

                                               

Jimbo la Zanzan

Jimbo la Zanzan ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote dIvoire. Iko Kaskazini mashariki mwa nchi. Mwaka 2014, Sensa ya Cote dIvoire ya 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 934.352. Makao makuu yako Bondoukou.

                                               

Tarafa ya Foumbolo

Tarafa ya Foumbolo ni moja kati ya Tarafa 10 za Wilaya ya Dabakala katika Mkoa wa Hambol ulioko kitovu mwa Cote dIvoire. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 18.808. Makao makuu yako Foumbolo mji. Hapa chini ni majina ya vijiji 34 vya tarafa ya Fou ...

                                               

Tarafa ya Kagbolodougou

Tarafa ya Kagbolodougou ni moja kati ya Tarafa 4 za Wilaya ya Sinématiali katika Mkoa wa Poro ulioko kaskazini mwa Cote dIvoire. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 9.356. Makao makuu yako Kagbolodougou mji. Hapa chini ni majina ya vijiji 14 vya t ...

                                               

Tarafa ya Sédiogo

Tarafa ya Sédiogo ni moja kati ya Tarafa 4 za Wilaya ya Sinématiali katika Mkoa wa Poro ulioko kaskazini mwa Cote dIvoire. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 5.757. Makao makuu yako Sédiogo mji. Hapa chini ni majina ya vijiji 34 vya tarafa ya Séd ...

Users also searched:

...